Total Pageviews

Tuesday, December 6, 2011

MY 21 DAYS VACATION TO NAKATUBA - FAREWELL MWANZA

Safari ikaendelea hadi Kisesa, Mwanza.
Kwa Bw Mgabho Snr tukapata nafasi ya kusalimiana na ndugu na jamaa na baadae mkono wa kwaheri.

Mheshimiwa sana akapenda kupata kumbukumbu ya pekee


Ilikuwa ni nafasi ya kupoza makoo, baada ya safari ndefu ndani ya jua kali

Nyamtolela alitoka kutupa mkono wa kwaheri pia

Igoma, Mwanza nyumbani kwa Bw Robert

Bw Phares II akapata picha ya kumbukumbu

Baadae mchana huo tukwepo kwa Mrs Matha Tano



Kote tukapata nafasi ya kufahamiana wale tulikuwa hatujaonana, kubadilishana mawili matatu na baadae kama kawaida mkono wa kwaheri.

Wakeshimiwa hawa (wajukuu wa Matha) ikawa nafasi yao ya kupata kumbukumbu pia.

Baadae tukapitia kuwasalimia Pasiansi kwa Major Selestine na kuwapa mkono wa kweheri.

Hakika muda ulishatutupa mkono kiasi kuwa hata kumbukumbu ya picha haikuwa rahisi.

1 comment:

  1. asante sana kwa hizi kumbukumbu. najisikia kana kwamba nami nilikuwepo.

    ReplyDelete