Total Pageviews

Friday, January 31, 2014

BYE BINTI KAZINYINGI

Bi Amina Shabani Kazinyingi was laid at peace
Msata, Bagamoyo
29 January 2014, 1300 Hrs

Tuesday, January 28, 2014

TANZIA

Bi AMINA KAZINYINGI
Mama yetu,
Bibi yetu,
Kwa habari zilizonifikia punde, AMEFARIKI DUNIA 1030HRS

Monday, January 27, 2014

BODABODA

Bodaboda,
Ajira yetu
Kinyerezi kwetu jumapili.

40 DAYS TO GO

Kikao cha tatu,
Maandalizi ya sherehe ya harusi ya Joel Joshua Kaitira kimeendelea tena jana.
Siku zinazidi kuyoyoma, ni angalau siku 40 tu zimebakia.
Kikao kijacho kitakuwa 09 February
Babylon Resort jana.

Saturday, January 25, 2014