Total Pageviews

Thursday, November 27, 2014

MORE EXAMINATION WISHES TO PENINA


Day two of National Examination for Std Four.
Mdau kutoka Morogoro,
PENINA GEORGE nae ni miongoni mwa walioanza mitihani hiyo.

VERY BEST WISHES PENINA

Wednesday, November 26, 2014

BEST OF LUCK IN EXAMS MINOO

First day in School, January 04th 2011
Maisha ya shule ni safari ndefu...........
Vumi, Vumilia ni safari ndefu.
Naam ndivyo ilivyo kwa Minoo na safari yake ya maisha ya shule.........
Hatimae baada ya miaka minne ya safari hii, leo anatakiwa kuvuka kikwazo cha kwanza.
Leo ni Mtihani wa Taifa wa darasa la Nne.

VERY BEST WISHES MINOO

Wednesday, November 19, 2014

WORLD TOILET DAY

What is World Toilet Day?

World Toilet Day is a day to take action. It is a day to raise awareness about all people who do not have access to a toilet - despite the human right to water and sanitation. 
It is a day to do something about it. 
Of the world’s seven billion people, 2.5 billion people do not have improved sanitation. 1 billion people still defecate in the open. Women and girls risk rape and abuse because they have no toilet that offers privacy. 
We cannot accept this situation. Sanitation is a global development priority. This is why the United Nations General Assembly in 2013 designated 19 November as World Toilet Day. This day had previously been marked by international and civil society organizations all over the world but was was not formally recognized as an official UN day until 2013. World Toilet Day is coordinated by UN-Water in collaboration with Governments and relevant stakeholders.





















You might not appreciate the importance of toilets - until you try and imagine life without them

UTANI MWINGINE BWANA!!

Mhaya akizuia maiti ya Binti wa kijita kuzikwa............
Kimara, Kilungulile

Je UTANI kati ya makabila ulitokana na nini?   
Haya makundi  ya Watani yalichaguana vipi? kuwa ‘watani” 
Je hii ni dhana ya huku kwetu Tanzania tu au na kwingineko ipo?

Tuesday, November 18, 2014

SHORT NA TALL

Short na Tall waki"pose"
Chandra Bahadur Dangi, wa Nepal ndiye mtu mfupi kuliko wote duniani, ana urefu wa cm 55.
Sultan Kosen wa Uturuki ndiye mtu mrefu kuliko wote duniani, ana urefu wa meta 2 na cm 51.

SOURCE: 
mitandao mbalimbali

Wednesday, November 12, 2014

OUR LY PERFORMAMCE


KIBARA 'A' PRIMARY SCHOOL - P0901031
WALIOFANYA MTIHANI : 55
WASTANI WA SHULE : 97.5636
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 58 kati ya 161
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 318 kati ya 723
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 9957 kati ya 15867 
KINYEREZI PRIMARY SCHOOL - P0201006
WALIOFANYA MTIHANI : 337
WASTANI WA SHULE : 118.1958
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 27 kati ya 50
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 379 kati ya 506
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 4631 kati ya 15867 

IGNATIUS PRIMARY SCHOOL - P0302090

WALIOFANYA MTIHANI : 50
WASTANI WA SHULE : 198.2000
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 3 kati ya 107
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 3 kati ya 727
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 91 kati ya 15867
Our ly perfomances were: 




 Subject   Vaileth Teddy Machumu     Devota Penina   Joseph     Noel Billy       Msalya  Karen Nyasinde Mgabo

KIBARA     "A"   KIBARA "A"   KINYEREZI  St IGNATUS
 Kiswahili        C         C           C   A 
 English        C         D            C   A 
 Maarifa        C         D           C   B 
 Hisabati           D         D           C   A 
 Science        D         D           C   B 
 AVERAGE        C         D           C   A 































 

Tuesday, November 4, 2014

ASHURA DAY

Leo ni "Ashura Day"
Na haya ni maandamano ya waumini wa kiislamu wakielekea Jangwani katika maadhimisho hayo ya siku ya Ashura.

Day of Ashura

 Ashura, an optional fast day for Muslims that commemorates different things for Sunnis and Shiites, falls on Nov. 2-3, 2014. The word itself, ashura, means 10, and the holiday is the 10th day of the Islamic month of Muharram. The Islamic calendar is lunar, so the date of Ashura can vary depending on sighting of the moon.

Ashura marks many things: the creation of the world, Noah's departure from the ark, Moses' flight from Egypt and the martyrdom of the Prophet Muhammad's grandson, Hussein ibn Ali, in 680 A.D. 

Sunni Muslims consider Ashura a fast day for two reasons: Muhammad fasted then and Moses fasted in appreciation of the successful Exodus for Egypt. Shiite Muslims mark Ashura as a day of mourning for the Prophet Muhammad's grandson. In fact, Hussein's martyrdom is one of two major events that led to the Sunni-Shiite split in Islam. Shiites, who constitute Islam's second-largest denomination (about 10-15 percent of the world Muslim population), consider Hussein to be the one true heir of Muhammad's legacy. 

Shiite Muslims observe Ashura through mourning rituals such as self-flagellation and reenactments of the martyrdom. Many travel to Karbala in Iraq, where Hussein was killed, as a pilgrimage on Ashura. Most observers wear black and march through the streets chanting and hitting themselves in the chest. Some use whips and chains -- or cut themselves on the forehead -- to ritually punish their bodies. This practice has been condemned by some Shiite leaders, so Ashura blood drives are often organized as a substitute.