Total Pageviews

Saturday, April 30, 2016

ANOTHER BIRTHDAY ANNIVERSARY

God created nephews to bring joy to the lives of aunts and uncles. Good job. Happy Birthday with love.

Friday, April 29, 2016

ITS BIRTHDAY ANNIVERSARRY

its exactly one year today,
Happy Birthday Crawford Kulwijira Kagere Msalya

Thursday, April 28, 2016

NDIO KWETU

Tunanyatanyata,
Tunarukaruka,
Hatimae tunafika.
Stend yetu kwenda Kinyerezi leo asubuhi.

Monday, April 11, 2016

WATOTO WA MTAANI

Ubungo Bus terminal, leo asubuhi
Watoto wa mtaani,
Mtaani ndio nyumbani kwao. 
Wametelekezwa au kufiwa na wazazi wao. 
Lakini pia familia zingine wanatembeza watoto wao mtaani ili waende kupata hela. 
Wengine wanashinda njiani kwa sababu ya hali ya umaskini wa familia zao.
Wanafanya  kazi ndogo ndogo au wanaibaiba. Wamezoea kupigana na kuombaomba kwa ajili ya chakula. Biashara ya madawa ya kulevya ni kawaida kwao.
Wanalala mtaani bila ya kulindwa na mara kwa mara wanafukuzwa na polisi. 
Watoto wa mtaani wengi wanakabiliana na adha zote za mtaani, njaa, jua, mvua baridi na maradhi mbalimbali,vitendo vya vurugu na mengine mengi.

BACK TO SCHOOL

Likizo imekwisha,
CK Jnr anarejea Chome,
Leo asubuhi, gari aliyopanda, Machame Safari ikiondoka Ubungo Bus Terminal.

Wednesday, April 6, 2016

TANZIA

   
Mama yetu
Mrs Nyamunda Perus Samson hatunaye.
Amefariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Nakatuba baada ya kuugua muda mrefu.
Bwana alitoa
Bwana ametwaa
Jina lake lihimidiwe.  

Saturday, April 2, 2016

THOSE GOOD OLD DAYS

Enzi hizo,
Ni wakulima wachache kijijini kwetu waliokuwa wanaweza kuuza pamba ya kufikia kiasi hichi.
Tumetoka mbali.