Total Pageviews

Monday, June 30, 2014

STORI ZA HAPA NA PALE NA MZEE CK

Kipunguni Weekend
Mzee CK hupata fursa ya kutembelewa na wadau mbalimbali.
Ni nafasi pekee ya kupiga stori za hapa na pale.
Picha ni wadau waliotembelea Jumamosi na Jumapili

Wednesday, June 25, 2014

Why did the chicken cross the road?

QUESTION: WHY DID THE CHICKEN CROSS THE ROAD?

* KINDERGARTEN TEACHER:
To get to the other side.
* PLATO: For the greater good.
* ARISTOTLE: It is the nature of chickens to cross roads.
* KARL MARX: It was a historical inevitability.
* RONALD REAGAN: I forget.
* CAPTAIN JAMES T. KIRK: To boldly go where no chicken has gone before.
* MARTIN LUTHER KING, JR: ... I envision a world where all chickens willbefree to cross   

         roads without having their motives being called into question.
* MACHIAVELLI: The point is that the chicken crossed the road. Who cares why? The end of   

        crossing the road justifies whatever motive there was.
* JERRY SEINFELD: Why does anyone cross a road? I mean, why doesn't anyone ever think to 

       ask, What the heck was this chicken doing walking around all over the place, anyway?'
* SADDAM HUSSEIN: This was an unprovoked act of rebellion and we werejustified in dropping 

       50 tons of nerve gas on it.
* GEORGE W. BUSH (2): We don ' t really care why the chicken crossed the road. We just want to  

       know if the chicken is on our side of theroad or not. The chicken is either with us or it is against 
       us. Thereis no middle ground here.
* MOHAMMED ALDOURI: ( Iraqi Ambassador): The chicken did not cross the road. This is a 

     complete fabrication. We don ' t even have a chicken.
* OLIVER STONE: The question is not, 'Why did the chicken cross the road?' Rather, it is, 'Who  

    was crossing the road at the same time,whom we overlooked in our haste to observe the chicken  
    crossing?'
* DARWIN : Chickens, over great periods of time, have been naturally selected in such a way that 

   they are now genetically disposed to cross roads.
* EINSTEIN: Whether the chicken crossed the road or the road moved beneath the chicken  

    depends upon your frame of reference.
* BUDDHA: Asking this question denies your own chicken nature.
* ERNEST HEMINGWAY: To die. In the rain.
* ISAAC NEWTON: Any chicken in the universe shall always cross a road perpendicularly to the 

   side of the road, and in an infinitely long straight line at uniform speed, unless the chicken stops  
   due to anunbalanced reactive force in the opposite direction of the chicken's motion
* NELSON MANDELA: Never again, will the chicken be questioned for crossing the road. This is 

      an ideal for which I am prepared to die.
* THABO MBEKI: We need to establish if really there is a connection  between the chicken and  

    the road.
* ROBERT MUGABE : For all of these years the road has been owned by
  the white farmers, the poor underprivileged chicken has waited too long for that road to be given  

  to  him and now he is crossing it in force with his fellow war veteran chickens. We intend taking  
  over  this road and giving it to the roadless chickens so that they can cross it without fear of  
  retribution from Britain who promised money to institute road reform. We will not stop until all ro
* MARTIN LUTHER KING, JR: ... I envision a world where all chickens willbefree to cross roads 
    without having their motives being called into question. this is nice... and so is this one...




Tuesday, June 24, 2014

UTII BILA SHURTI 2

 Kutokana na mtu mmoja tu ambae hakutaka kufuata sheria na kanuni
Watumiaji wengine wote wa Daraja hili sasa wanalazimika kupita kwa shida na taratibu, tena kwa kupeana zamu wa kwenda na kutoka Kinyerezi.

UKO WAPI UTII BILA SHURUTI

Tabata Hai, asubuhi.

Friday, June 20, 2014

KINYEREZI DARAJANI

Kinyerezi Darajani
Ijumaa asubuhi

MAJANGA KINYEREZI

Daraja ya chuma ya muda ya Majumba6 Kinyerezi ikiwa imeanguka.
Siyo mafuriko,
Ni dereva wa Semi trailler aliyejaribu kupitisha mzigo wa matofari wa zaidi ya uzito unaostahili.
Kinyerezi Darajani
Alhamisi
Picha kwa hisani ya Mwanajamii forum

Tuesday, June 17, 2014

MAMBO YA GUTA

Guta ikipakia mzigo
Ilala sokoni

BYE KIBASILA

Kibasila, Muhimbili
Jumatatu
Mzee CK jana ameruhusiwa kurejea nyumbani kwa muda wakati akisubiria matibabu ya mwisho.

Saturday, June 14, 2014

KAMA BRAZIL VILE

Kwa haraka haraka unaweza kudhania ni mashabiki wa mpira wakibrazuka, La hasha...
Ni waombaji wa nafasi za kazi idara ya uhamiaji, wanakisiwa kuhudhuria vijana wapatao 10,000.
Na miongoni mwao ni SABINI (70) tu wanahitajika.
Ama kweli bongo tambarare.

Thursday, June 12, 2014

GUTA INAPOKATAA MZIGO

Kawawa Road
Msimbazi

MUUGUZI WA KWELI


Kujua uhondo wa ngoma, huingia kucheza.....
Kitanda usichokilalia, huwezi jua kunguni wake.....
Hivyo muuguzi wa ukweli ni budi akajua vilivyo vitanda vya wagonjwa wake.

SIJUI HAPA SHERIA INASEMAJE

Jamani shati la Mwanasheria.
Ni madoido ya Fundi,
au vituko vya Mwanasheria.
Ni mtazamo tu.

Wednesday, June 11, 2014

TANZIA - NYAMTOLELA HATUNAYE

Late Nyamtolela.
Bibi, Mama yetu Nyamtolela amefariki usiku wa kuamkia leo, Kisesa Mwanza nyumbani kwa mwanae Bw. Richard Mgabo.
Mipango ya mazishi inaendelea Kisesa, Mwanza.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.
AMEN

Monday, June 9, 2014

UTUNZAJI WA MAZINGIRA

Hapa ni nani wa kulaumiwa?
Jangwani

SOPUSOPU

Usafi muhimu

SHUKRANI WADAU


Kuwepo kwa Mzee CK hospitalini kumevuta wadau mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali kuja kumjulia hali na kumpa pole.
Ni upendo mkubwa sana wanaouonesha, na umekuwa ukitupatia faraja kwetu wauguzaji.
Shukurani wadau kwa maombi yenu na Moyo wenu wa Upendo.