Total Pageviews

Saturday, September 28, 2013

USIOMBEE UCHOVU

 
Uchovu, usiombe!!!!
Bodaboda utaigeuza kitanda.........
Mdomo utaugeuza geti la kuingilia wadudu tumboni.......

Friday, September 27, 2013

Wednesday, September 25, 2013

NANI ALAUMIWE?

Inapotokea Dereva mwanafunzi kama huyu, anatoka kwenye njia yake.........
Mnapigana pasi,
Nani alaumiwe?
Kawawa Road, Jumatatu

Tuesday, September 24, 2013

MDAU EDDYSON IS ............YRS OLD TODAY

Leo ni siku maalum ya mdau wetu
MNYAGA EDDYSON HAMIS MSALYA
Chief Photographer wa Blog yetu leo anatimiza miaka kadhaa..........
alizaliwa tarehe kama ya leo pale  Kisorya.........
HAPPY BIRTHDAY EDDYSON
Nimetaarifiwa Mnuso upo wa nguvu, Kipunguni jioni ya leo.

Monday, September 23, 2013

MAITI YAOKOTWA CHINI YA LIFT(PICHA ZA KUOGOFYA)

 
 
 
 
 
Maiti ya Mtu asiyetambuliwa bado, imeopolewa juzi Jumamosi chini ya Lift ya jengo la HIFADHI HSE.
Hakuna maelezo ya zidi kwa sasa kujua chanzo cha kifo.
Lakini kilicho dhahiri ni kuwa milango ya lift hii inaweza kufunguka hata kama lift haipo kwenye floor husika.
Picha na mdau Eliud

AUNT CARES

Aunt Cares

BODABODA V/S DALADALA

Bodaboda inapoigonga Daladala
Msimbazi, Kawawa Road

TATIZO MAJI

Uswazi kwetu ni poa kabisa,
Shida maji.
Kama una mpango wa kuhamia huku kwetu,
Simtank yako usimuachie jirani, njoo nayo.
Kinyerezi kwetu jana.

SELESTINE WEDDING - 41 DAYS TO GO

Siku zinazidi kuyoyoma,
Bado siku 41 tu
Wadau nao wanaendelea na vikao vya maandalizi.
Kikao cha nne kilikuwa jana, Ukonga Recreation.

MAAJABU YA DUNIA

Mike the Headless Chicken.

 Mike the Headless Chicken (April 1945 – March 1947), also known as Miracle Mike, was a Wyandotte chicken that lived for 18 months after his head had been cut off. Thought by many to be a hoax, the bird's owner took him to the University of Utah in Salt Lake City to establish the facts of the story.
On September 10, 1945, farmer Lloyd Olsen of Fruita, Colorado, United States, had his mother-in-law around for supper and was sent out to the yard by his wife to bring back a chicken. Olsen chose a five-and-a-half-month-old cockerel named Mike. The axe missed the jugular vein, leaving one ear and most of the brain stem intact.[
Despite Olsen's botched handiwork, Mike was still able to balance on a perch and walk clumsily; he even attempted to preen and crow, although he could do neither. When the bird did not die, a surprised Mr. Olsen decided to continue to care permanently for Mike, feeding him a mixture of milk and water via an eyedropper; he was also fed small grains of corn. It is not recorded what was eaten for supper that night.
When used to his new and unusual center of mass, Mike could easily get himself to the highest perches without falling. His crowing, though, was less impressive and consisted of a gurgling sound made in his throat, leaving him unable to crow at dawn. Mike also spent his time preening and attempting to peck for food with his neck.

SOURCE:  donlucchese - JAMIIFORUMS

Friday, September 20, 2013

ELIMU INAPOGEUKA SHUBIRI

Wakati mwingine safari ya kuitafuta Elimu ni kama shubiri.
Kinyerezi

MBUYU UNAPOANGUKA

Mtwara Polisi Canteen
Si kawaida kuona mbuyu umeanguka,
Inapotokezea, maneno mengi yatasemwa.
Lakini kilicho na mwanzo, hakina budi kuwa na mwisho.

Wednesday, September 18, 2013

MARA SEKONDARI HII

Satelite view of Mara Secondary School
My School 1976 -1979.
My Domitory "UMOJA"

BIASHARA ASUBUHI

Ujasiriamali,
inaendana na utambuzi wa biashara yako.
Kama mikate, ni lazima usambaze mapema kabla ya saa ya chai kupita.
Kinyerezi asubuhi

Tuesday, September 17, 2013

Monday, September 16, 2013

Friday, September 13, 2013

ECHITURI - TANGO - CUCUMBER



Cucumbers are number four most cultivated vegetable in the world and known to be one of the best foods for your overall health, often referred to as a super food. Pick a handful of firm, dark green cucumbers and drop them into your shopping cart. Congratulations! You have just bought yourself stuff full of good health.
Cucumber rehydrates body
If you are too busy to drink enough water, eat the cool cucumber, which is 90 percent water. It will cheerfully compensate your water lost.
Cucumber fights heat inside and out
Eating cucumber will get your body relief from heartburn. Apply cucumber on your skin and you will get relief from sunburn.
Cucumber eliminates toxins
All that water in cucumber acts as a virtual broom, sweeping waste products out of your body. With regular eating, cucumber is known to dissolve kidney stones.
Cucumber replenishes daily vitamins
Cucumbers have most of the vitamins the body needs in a single day. A B and C, which boost your immune system keep you radiant and give you energy. Make it more powerful by juicing cucumber with spinach and carrot. Don’t forget to leave the skin on because it contains a good amount of vitamin C, about 12 percent of the daily recommended allowance.

Wednesday, September 11, 2013