Total Pageviews

Saturday, January 28, 2017

Friday, January 27, 2017

KISA CHA MSAMARIA




Bwana Yesu asifiwe…
“Mpende jirani yako kama nafsi yako” ni amri ya pili iliyo kuu. Imeandikwa;“ Na ya pili ndiyo hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hakuna amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi.“Marko 12:31(Ya kwanza ni mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote. Marko 12:30) Amri hii ilitolewa na BWANA mwenyewe tangu kipindi cha Musa,( Walawi 19:18). BWANA MUNGU aliwataka watu wake wasifanye kisasi,wala kuwa na kinyongo bali waishi maisha ya kupendana.

MORNING BREAKFAST

Kigamboni, Sunday

Monday, January 23, 2017

HAHAHAHA........BLOGGER KAPATIKANA

Yes, DAR yetu inachemka.............
Foleni, Joto na zaidi ya yote ur driving un airconditioned vehicle,
Ni shughuli pevu.

KWETU MBALI

Home away, far from home.
Ni safari ndefu.
Kigamboni upande gari za Mwembe Mdogo,
Uvuke daraja la Malimbika,
Mwongozo Kibaoni, Malimbika road ndiyo kwetu.

CAMEROON IN KIGAMBONI

Cameroon Pub,
Mwongozo Kibaoni, Kigamboni.
Sunday

Saturday, January 21, 2017

SARANDA ONE

Saranda, Dodoma
Stesheni maarufu ya treni kwa misosi zama zile.
Huenda mambo yakaibuka tena.

Picha kwa hisani ya Mdau Tall

SALAMU KUTOKA BUNDA

Asubuhi njema ya Sabato,
Migungani Bunda asubuhi

Tuesday, January 17, 2017

ONCE UPON A TIME

For a decade ago, there used to be no access road here.
Segerea Kinyerezi Road,
Today morning.

Monday, January 16, 2017

WE ARE CHANGING

Our view is changing,
Kinyerezi kwetu,
Sunday evening.

DALADALA MEN


Ndege wenye rangi moja huruka pamoja,
Daladalamen bila shaka na wao wana lugha yao wanayoelewana.
Kawawa Road, Msimbazi Centre.

Saturday, January 7, 2017

UKAME AU?

Dalili mbaya,
Mti wetu wa mwembe unaoanza kunyauka,
Au ndiyo Mbuzi wa maskini hazai............
Kinyerezi kwetu,
leo asubuhi

Friday, January 6, 2017

WAMERUDI?


Barabara zimeanza kunonanona,
Walioenda kuhesabiwa wamerudi nini?
Ni vijimambo tu.

Wednesday, January 4, 2017

KIJIWE CHETU

Kijiwe chetu, Maarufu kijiwe cha Mujunguti.
Stori zote updated za Nakatuba ziko hapa.

Monday, January 2, 2017

TANZIA

Ndugu yetu Maira hatunae tena.
Maira ni mdogo wake na Kagere, kwa Mama mmoja Bi Mwajuma Chiyarata.
Kunako February 2015, Maira alipata matibabu ya kuondolewa uvimbe usoni ndani ya pua.
Pamoja na kupata nafuu kwa nyakati fulani, tatizo hili limekuwa likiendelea hadi kuleta umauti juzi usiku wa kuamukia mwaka mpya.
Bwana alitoa,
Bwana ametwaa, 
Jina lake lihimidiwe.
Amina

NEW YEAR DAY

New year day,
Kubadilisha mboga muhimu.

MWANZA AIRPORT

With Wadau
Mwanza Airport en route to Dar.

EMERGENCY MEETING

All the way from Dar for this emergency meeting.

BORN HERE HERE

Hakika siku hazigandi,
Kutoka vijana wa Nakatuba Centre,
Na sasa ni wazee wa Nakatuba Centre.
Ni Comrade Goodluck Mkingira Ngalya, maarufu CHADEMA

FROM BUSH TO TOWN

Kamanda Elibariki,
Kutoka kijijini hadi mjini,
Nakatuba hadi Bunda