Total Pageviews

Monday, July 25, 2016

MORNING BREAKFAST

Samunge Pub,
Jumapili

BOB ANA NYUMBA MPYA

 Final day of Old Bob's house
 Bob's new house in final stages.
Kinyerezi kwetu, Jumapili.

MBUZI WA MASKINI.................



Eti, Mbuzi wa maskini hazai, akizaa huzaa dume...................
Tunashukuru tuna mbuzi wa tatu hata kama ni dume.

PHOTOS FROM NAKATUBA

Picha kutoka kwa Mdau wa Blog, Silla.
Na matukio wakati wa kikao kilichofanyika Nakatuba mwanzoni mwa Julai mwaka huu.

GREETINGS FROM MOROGORO

Kihonda, Morogoro
Jumamosi

Saturday, July 23, 2016

TANZIA

Taarifa kutoka Karukekere zilizoifikia Blog punde ni kwamba Mama yetu,  Bibi yetu Nyamkaruka hatunae tena.
Amefariki muda mfupi uliopita nyumbani Karukekere.
Bwana alitoa,
Bwana ametwaa,
Jina lake lihimidiwe.

Friday, July 22, 2016

Monday, July 18, 2016

MAVUNO TYME

(Hes 28:26-31; Kumb 16:9-12)
15  “Mtahesabu majuma saba kamili tangu siku ile inayofuata Sabato ile ambapo mtaleta mganda wa sadaka ya kunitolea kwa ishara mimi Mwenyezi-Mungu. 16Mnamo siku ya hamsini, siku ya pili ya Sabato ya saba, mtanitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka ya nafaka mpya. 17Kila jamaa italeta mikate miwili ya sadaka ya kutoa kwa ishara mbele yangu mimi Mwenyezi-Mungu. Kila mkate ni lazima uwe umetengenezwa kwa kilo mbili za unga laini uliotiwa chachu; na huo mtanitolea mimi Mwenyezi-Mungu ukiwa ni matoleo ya malimbuko yenu. 18Pamoja na hayo, mtatoa wanakondoo saba wa mwaka mmoja, fahali mchanga mmoja, na kondoo madume wawili. Wanyama hao watakuwa sadaka ya kuteketezwa pamoja na sadaka ya nafaka na sadaka za kinywaji. Harufu ya sadaka hizi itanipendeza mimi Mwenyezi-Mungu. 19Mtatoa beberu mmoja wa sadaka ya kuondoa dhambi na wanakondoo madume wawili wa mwaka mmoja kwa ajili ya sadaka za amani. 20Kuhani atavipitisha mbele yangu mimi Mwenyezi-Mungu viwe sadaka ya kutoa kwa ishara pamoja na mkate wa mavuno ya kwanza na wale wanakondoo wawili. Vitu hivyo ni vitakatifu kwa Mwenyezi-Mungu navyo vitakuwa kwa matumizi ya kuhani tu.21Siku hiyohiyo mtatoa ilani ya mkutano mtakatifu; msifanye kazi. Hili ni sharti la kufuata milele katika vizazi vyenu vyote, katika makazi yenu.
22  “Unapovuna mavuno yako shambani, kamwe usivune kabisa hadi mpakani mwa shamba lako wala usirudi nyuma kukusanya masalio. Utawaachia hayo maskini na wageni. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.”

JASIRI HAACHI ASILI

Machungani,
Kinyerezi kwetu, Jumapili

MSALYA GAINING PACE

The forth generation of Msalya, Msalya Junior 9

Friday, July 15, 2016

FROM THE ARCHIEVES


Bright and Billy
Mara Secondary School, 1976

FROM MINOO TECNO SMART PHONE

Minoo went to Nakatuba on leave,
She had a Tecno Smart phone in hand,
Here are some photos she took, on way and during the stay.