Total Pageviews

Thursday, March 29, 2012

ZANAKI NDANI YA BONGO

I have been wondering of Zanaki Street in Dar Es Salaam, was it to honour Mwalimu JK?

Telephone House
New SkyScrapper growing

Left,Hindu Mosque

Habib Bank



Neelkanth Tower, new skyscrapper



Round about near Chanel 10 "DTV"

UBUNGO ENZI HIZO



Monday, March 26, 2012

st CAMILIUS YOMBO

Yombo Vituka jana,

Sanamu ya Mt Kamili, Kanisa la Katoliki Yombo

Nilifika hapa kwa mara ya kwanza miaka mingi iliyopita kwa sherehe ya kufunga ndoa Bw na Bi Machele.

Nilirudi tena hapa jana kwa kikao cha usuluhishi wa Bw na Bi Machele. Bahati mbaya kikao kiliahirishwa.

Friday, March 23, 2012

UNAPOKOSA SPARE TYRE

Majuzi, kando ya Kanisa la Wasabato Ilala, opposite Ramada Apartments Usiombe yakukute yaliyomkuta Blogger, kwa kukosa kuwa na spare tyre. ilinilazimu kubeba tairi, kwenda kuziba mbali kama nusu kilometa nikiacha gari barabarani.

AMA KWELI BONGO TAMBARARE

Ama kweli Bongo tambarare,

Huku vikwangua anga vikiendelea kuona kila kukicha kila sehemu ya Bongo,

Hali ya miundo mbinu inatisha

Barabara ya Uhuru, karibu na kituo cha zamani cha Daladala, REMS

Vimiminika toka Vikwangua anga vikiwa vimesheheni vinyesi kando tu ya barabara kuu ya Uhuru, inahitajika kuwa mwangalifu hapa maana magari hupita yakatifua uchafu huo hovyo hovyo.

Monday, March 19, 2012

BONGO DARISALAMA

NBC Hq Posta ya zamani
Mnara wa kumbukumbu garden ya posta ya zamani, sikumbuki ni kumbukumbu ya nani

Kuna bustani nzuri inayopendeza siku hizi

Jengo hili zamani likiwa ndiyo HQ ya wizara ya maji, baadae ofisi ya makamu wa rais lakini kwa sasa sijui lolote

Karimjee Jivanjee

Posta ya zamani

Benki ya Wanawake, ndani ya majengo ya Posta ya zamani

TRA offices, adjacent to Extelecoms House

Samora, City Centre magofu yangaliko

Vikwangua anga vipya vikichukua nafasi pemebeni ya magofu

This building houses Alcove Restaurant - Indian and Chinese cuisine.

In existence back yrs in 1991 when i was with Tanna Somaiya at Extelecom Bldg

Saturday, March 17, 2012

TOM AND JERRY ORIGINAL

Nimeipata toka mtandao wa Kenyanlist, nami nikaikubali kuwa inapaswa kuwa orijino

MITAANI DAR JANA

Jana nilipata bahati ya kuweko mjini, nikitoka sehemu moja kwenda ingine...............
Hakika Dar City Centre inabadilika. Nilipata nafasi ya kutumia Kinokia changu kwa kupata taswira za hapa na pale

Round about Makunganya, Bilcanas


Samora, Zanaki
Samora, Matalamasat Bldg, Housing UNDP offices

PPF House, Samora

Ministry of Natural Resources/NBC Samora Branch

Clock Tower Round about

Thursday, March 15, 2012

Thursday, March 8, 2012

NANI KASEMA BLOGER HAENDAGI FACEBOOK

Nani kasema Bloger haendagi Facebook??
Nahudhuria japo mara chache................
Na leo wakati naingia nikakutana na picha ya Ankal, imepigwa katika madhari mazuri kuliko na imenivutia nami pia.
Inanipa kufikiria Bongo yetu, wapi na lini tutakuwa na sehemu zenye kuvutia kihivi?????
Siyo mimi pekee, kumbe tuliguswa wengi, plz check


Tabitha Etutu
July 2, 2011
• 12 people like this.
Sarah Mgabo: waooh! you look great! na hayo mahekalu ya nn?
Tabitha Etutu: hekalu la budha. kando yake kuna ikulu ya mfalme aliyepita. panautia kwa kweli
Lilian Chambulikazi: Naona unatuwakilisha vema ughaibuni na kitenge chetu!!!
Tabitha Etutu: ndio mwaya, tenge zuri
Jasson Ndanguzi: wow...long time!naona mambo sio mabaya..
Amaning Seth: that is my angle Tabitha
Tabitha Etutu: ha ha ha ha. Thanks Jasson
Tabitha Etutu: Thanks Amani

Wednesday, March 7, 2012

SIKU YA MDAU JM KAIGI NA WANAWAKE WOTE DUNIANI

Kesho ni siku maalum

Ni Birthday ya Mdau Jackson Marogo Kaigi

Anatimiza miaka kadhaa............................

HAPPY BIRTHDAY DEAR JACK

Lakini pia kesho ni siku Maalumu kwa Wanawake wote Duniani

Monday, March 5, 2012

KIKAO CHA 15 CHA CHENDANE

Jana ilikuwa ni siku ya kikao cha 15 cha CHENDANE FOUNDATION, kikao kilifanyika Kipunguni mwenyeji wetu safari hii ni Bw. Eddyson.

Wajumbe wakijua ni kikao cha UChaguzi wa viongozi walianza kuingia mapema, pengine kumalizia Kampeni ambazo zimekuwa zikiendelea kwa zaidi ya mwezi sasa.

Mjumbe asiyetambuliwa, "Jaluo" lakini mhudhuriaji mahiri alikuwepo pia, tena mapema.....

Jaluo, Malembo, Agness

Mama Chai, Silla

Kikao kikaanza na ajenda zake za kawaida, wajumbe wakajadili, wakawasilisha michango yao kama kawaida

Mama Chai, Beria, Eliud

Ufatiliaji na umakini wa hali ya juu

Hatimae ikawa wakati wa Viongozi wa Muda waliokuwa wakiongoza kupisha Kigoda kutoa nafasi ya uchaguzi mpya wa viongozi kulingana na Katiba kufanyika.

Mwenyekiti wa muda ikabidi atafute sehemu nyingine ya kupozi

Mwenyekiti wa Muda, Bw Eliud akachukua usukani na wajumbe wakajadili namna bora ya kuwapata viongozi

Baada ya majadiliano, kura zikapigwa
na baadae kuhesabiwa mbele ya mashahidi


Mwenyekiti msimamizi wa uchaguzi akatoa matokeo

wenye kushangilia walikuwepo baada ya kupita mchuano huo mgumu

Mwongozo wa Msimamizi katika utangazaji wa matokeo

Matokeo yakaonyesha ifuatavyo:
Mwenyekiti - Billy Msalya
Makamu Mwenyekiti - Eddyson Hamisi
Katibu - Sospiter Kwesi
Mweka Hazina - Eliud Kaitira
Mjumbe - Kulwa Malembo
Mjumbe - Jackson Kaigi


Mwenyekiti Mteule na Katibu wake

Katibu Mteule akikabidhiwa mikoba

Mwenyekiti akarudi ulingoni kukamilisha kikao.
Pita pita ya Kamera upande mwingine ikamufuma mdau Bj Jnr akiserebuka kushangilia matokeo ya uchaguzi wa kura zilizopigwa. lakini haikujulikana alikuwa upande upi wa wagombea.......
KIKAO KINACHOFUATA CHA KUMI NA SITA KITAFANYIKA TAREHE 29 APRIL 2012 NYUMBANI KWA Bw. ELIUD KAITIRA, ULONGONI GONGO LA MBOTO