Total Pageviews

Wednesday, March 29, 2017

UBATIZO

Penina George Msalya
Morogoro, 

Yesu alisema, “Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu” Yohana 3: 5. Tena aliwaagiza wanafunzi wake akisema: “… Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na KUBATIZWA ataokoka, asiyeamini atahukumiwa” Marko 16:15-16.

Tuesday, March 21, 2017

TANZIA: NYAMAIRA KUBHOJA

Bi Nyamaira Kubhoja.

Wadau wa Blog.
Taarifa zilizoifikia blogu yetu asubuhi ya leo.
Bibi yetu Nyamaira Kubhoja amefikwa na mauti jana 20 March 2017 mchana Hospitali ya Kibara.
Mipango ya mazishi inaendelea nyumbani kwake Igundu.

Bwana alitoa,
Bwana ametwaa,
Jina lake lihimidiwe.
Apumzike kwa Amani

Friday, March 17, 2017

DYING A HERO

Many children dream of being superheroes and saving those in need of help. Eleven-year-old Liang Yaoyi from South China's Guangdong Province was actually able to make an incredible difference and be a hero for others. He had been fighting brain cancer since he was 9, and surgeries and treatments were not able to eliminate the tumor. 
As he neared the end, he revealed to his mother that he wanted her to donate his organs so that he could save the lives of other children. It was likely that he had read about tissue donation at school, through one story about bone marrow donations to treat leukemia and another titled, ”Immortal Eyes.”
“I have seen many people doing good deeds and I think they are great. I want to be a great child too,” he reportedly told his mother.
Liang passed away on June 6, and doctors were able to harvest his liver and kidneys that were successfully transplanted into others who needed them. The medical staff with Liang at the end were very touched by his bravery and selflessness, and someone snapped a photo of them bowing three times to show their utmost respect for him.
Liang most certainly died a hero and will continue to live on through the organs he was able to donate.
SOURCE
iflscience
mirror

Monday, March 13, 2017

UTII BILA SHURTI

Bongo Darisalama,
Kama hujui chocho za Bongo, Usimkimbie Traffic
Foleni za Dar atakubamba tu.
Kigogo Road asubuhi.

JAMBO BOB

Hi kwa Bob,
Kinyerezi kwetu, Jumapili.
Mdau Msiba Mjengwa akipeana Hi na Bob.

KINYEREZI NEW BUS TERMINAL

Kinyerezi Mwisho,
at last we have a Terminal Bus Stand in progress.

Saturday, March 11, 2017

UHONDO WA MHOGO

Uhondo wa mhogo wa kuchoma,
Kachumbari kidogo,
Pilipilichumvi kidogo
Weekend njema wadau wa Blog

Friday, March 3, 2017

BORA KUFIKA

Bora mzigo wa Bosi ufike,
Usalama majaaliwa.
Uhuru Road, Ilala