Total Pageviews

Tuesday, August 26, 2014

TEAM RESCUE

Team Rescue
Kinyerezi, Kanga
Jumatatu

YOTE MAISHA

Hapa mchana ni Mgahawa,
Lakini usiku panabadilika kuwa malazi.
Ni wauguzaji wenye ndugu zao waliolazwa Muhimbili wakipata hifadhi ya malazi.
MNH, Jumatatu usiku

Friday, August 22, 2014

BWANA NDIYE MCHUNGAJI WANGU

Zaburi 23

1  Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
2  Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza.
3  Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
4  Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
5  Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika.
6  Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.

ABNORMAL LOADING

Abnormal loading,
Sijui kama ana kibali cha Tanroads

EXERCISING FOR HEALTH

Mazoezi kama haya hujenga afya ya mwili

BUSU LA BARABARANI

 Busu kama hizi barabarani ni kawaida,
Tatizo wapambe,
ama kweli wapambe nuksi

NI SANAA TU

Mojawapo ya vinogesho vya sherehe ya Harusi.
Eng Leonard & Marina Nite at Sunset

Thursday, August 21, 2014

WHAT A CREATIVITY?

Nice Creativity of Nursery School Car
from Michael Mausa Memorial Schools, Kinyerezi.
Kawawa Rd, Wednesday

Wednesday, August 20, 2014

BI HARUSI ANA KWA ANA NA BA MKWE


Bi Harusi,
Mrs Lucy Kagere
alipofika kumjulia hali Ba Mkwe Mzee CK
Kipunguni jumapili

OUR CHANIKA TRIP

Kuzurula mara moja moja kunasaidia kusafisha macho.
Jumapili tukazurulia Chanika.
Ama kwa hakika ukifika Chanika, kama hujakutana na mdau wetu Muhimu Bw Machele,
safari yote ya kuzurula inakuwa haijanoga.

MIMI NI MSAFIRI

Mimi ni msafiri bado niko njiani,
Sijui lini nitafika,
Naulizia watu kule ninakokwenda,
Naambiwa bado ni mbali...........................

MVI HAZIFICHIKI

Mvi za Blogger sasa ni dhahiri hazifichiki.

Monday, August 18, 2014

KAISIKI

Hata Saida Karoli alianzia huku

NI USIKU WA Eng LEONARD NA MARINA

Twiga Hall, Sunset Hotel, Makonde Dar Es Salaam
Eng Leonard na Marina walivyomeremeta pamoja na wadau wa Delmonte.
Jumamosi

AH, NANI FUNDI VIATU?

Tee tee Milly,
Nani kasema mimi fundi viatu?
Kinyerezi kwetu

KIJIWE CHA KAHAWA

Raha ya kijiwe cha kahawa kipo up to date kwa habari,
tokea habari za siasa, michezo, burudani na kijamii.
Chanika, Jumapili