Total Pageviews

Thursday, October 31, 2013

Wednesday, October 30, 2013

MAISHA NYUMA YA PAZIA

Maisha yetu upande wa uani

MASELE IN ACTION

Muigizaji Masele cha Pombe akiwa kazini.
Hii ni Ilala jana na akiigiza kama Trafiki Mlevi.
Ama kweli kazi ni kazi.............

Tuesday, October 29, 2013

KULONDA KAZI YA JESHI...........

Naam,
Kazi ya Jeshi, lazima uwe mkakamavu.
Kawawa Rd

MAJANGA

Mandela Road, Tazara
Jumamosi jioni.
Namshukuru Mungu sikupata madhara yoyote mwilini.

Monday, October 28, 2013

Wednesday, October 23, 2013

Tuesday, October 22, 2013

WANYAMA WETU

Wanyama wetu,
wengine wako katika hatari ya kutoweka kabisa.
Ni jukumu lako wewe na mimi kuwalinda kwa ajili ya vizazi vijavyo.

AJALI

Taswira za darajani Segerea/Kinyerezi jana jioni.
Hii ni baada ya Lori lililobeba mkaa kushindwa kuingia barabarani kutoka kwenye Diversion na kuanguka.
Kama kawaida taharuki hiyo ikawa imeanzisha foleni ndefu.
 

Monday, October 21, 2013

MY PHOTOS

Zawadi ya picha toka nyumbani toka kwa mdau Kagere.
Suzzy Bomba - Nakatuba
Nyamagoti - Nakatuba
Like Father like son, Mwayai & Kagere - Bunda

CHELEWA CHELEWA

Naam, hii ndiyo chelewa chelewa......
Jumamosi asubuhi, Kinyerezi wananchi wakisubiria kupiga picha kwa ajili ya vitambulisho vya kitaifa.
Lakini ukweli ni kwamba zoezi hili kwa Kinyerezi lilikamilika ijumaa.
Na mimi ni mmojawao wa waliochelewa.

MAAJABU YA MWEMBE

Hii nimeikuta mitaa ya kwetu jumamosi.
Katika kitalu cha miche
Miche ya miembe imetoa maua.
Hakika ukistaajabu ya Mussa.......

PAMA

Pama
Our Executive Soccer Show Centre.
Saturday evening

CHEZEA MILLY

mdau Milly
Kinyerezi jana

KARIBU MDAU PAULO

Mdau Paulo, a.k.a. Mangati ametua Dar
Na jana alikuwepo kwetu Kinyerezi.
Mdau yupo kwenye mission ndefu ya ku "trace" ndugu wa upande wa Baba ambao hajaonana nao kwa miaka zaidi ya 18.
Safari hii itamfikisha mpaka Mtwara.