Total Pageviews

Thursday, October 17, 2013

KAULI MBIU YETU KWISHNEI

"HAITOKI HATA KWA BOMBA LA PENI"
Siasa Bwana, asikwambie mtu, ile kauli mbiu yetu ya Gesi kutoka kusini kwetu inaelekea kufeli.
Majuzi nikiwa safarini Rufiji, nimejionea maandalizi ya kuitoa gesi yakiendelea.
Na hakika sasa ni dhahiri ITATOKA.
Tena kwa BOMBA KUBWA

No comments:

Post a Comment