Total Pageviews

Monday, May 21, 2018

WAGENI KUTOKA MBALI


Kihonda Morogoro, Jumapili.
Pilikapilika kuanzia asubuhi, Familia ikikusanyika hapa kutoka Dar Es Salaam, Dodoma na penginepo.
Wageni kutoka mbali Mabwana Peter Chigugu na Joel Mashenene kutoka mbali, na salamu zao toka kwa James Mgusi wa huko mbali.
Ni Wageni wanaotaka kuwa ndugu nasi, hivyo pamoja na salamu Wageni walikuja na zawadi.
Wenyeji nao wakawakaribisha wageni kwa bashasha na ukarimu mkubwa.
Hakika itakuwa ni siku isiyosahaulika kwa wote pamoja na Bhituro Teddy.

Monday, May 14, 2018

ONLY KWA WASTAAFU


Twist, mpaka chini........
Kuwaburudisha Wastaafu.
Ni katika Usiku wa Donald na Sarah.
Jumamosi,
Blue Saphire Hall, Mbezi Beach

ULINZI UNAPOIMARISHWA


Blue Saphire Hall, Mbezi Beach Jumamosi.
Ndani ya Ulinzi uliokamilika ya Makamanda wangu.
Ni katika Usiku wa Donald na Sarah.

Thursday, May 3, 2018

MTAANI KWETU

Mtaani kwetu leo asubuhi,
Mambo yenda yakibadilika.
Sasa ni Muonekana mpya.