Total Pageviews

Monday, September 9, 2013

KIJIWENI SAMUNGE

Kijiweni Samunge a.k.a. Sebuleni
Ndio kijiwe chetu cha kupitishia muda
Stori za yaliyojiri Uswazi kwetu,
Peruzi ya magazeti ya Siku
Na hata shopping na drawings
Lakini pia ni Kijiwe cha Kunguru wa Zanzibari

No comments:

Post a Comment