Total Pageviews

Wednesday, November 19, 2014

UTANI MWINGINE BWANA!!

Mhaya akizuia maiti ya Binti wa kijita kuzikwa............
Kimara, Kilungulile

Je UTANI kati ya makabila ulitokana na nini?   
Haya makundi  ya Watani yalichaguana vipi? kuwa ‘watani” 
Je hii ni dhana ya huku kwetu Tanzania tu au na kwingineko ipo?

No comments:

Post a Comment