Kinyerezi leo asubuhi,
Muumini akiwajibika kueneza neno la Mungu.
Mathayo 28:19-20 "basi enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi
mkiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho mtakatifu na
kuwafundisha kuyashika yote niliyo waamuru ninyi na tazama mimi nipo
pamoja nanyi siku zote hata ukamilifu wa dahari."
Wakolosai 1:26-29 "Siri ile iliyofichwa tangu zamani zote na tangu
vizazi vyote bali sasa imefunuliwa kwa watakatifu wake ambajinsio Mungu
alipenda kuwajulisha jinsi ulivyo utajiri wa utukufu wa siri hii katika
mataifa nao ni kristo ndani yenu tumaini la utukufu amabaye sisi
tunamhubiri habari zake tukimwonya kila mtu na kumfundisha kila mtu
katika kila hekima yote tupate kumleta kila mtu mtimilifu katika kristo
Nami na jitaabisha kwa neno lilo hilo nikijitahidi kwa kadiri ya kutenda
kazi kwake atendaye kazi ndani yangu kwa nguvu."
Mathayo 24:14 "Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika
ulimwengu wote kuwa ushuhuda kwa mataifa yote hapo ndipo ule mwisho
utakapokuja."
1Wakorintho 2:1-5 "Basi ndugu zangu mimi nilipokuja kwenu sikuja
niwahubiri siri ya Mungu kwa ufasaha wa maneno wala kwa hekima maana
naliazimu nisijue neno lo lote kwenu ila Yesu kristo naye amesulibiwa
nami nalikuwako kwenu katika hali ya udhaifu na hofu na matetemeko mengi
na neno langu na kuhubiri kwangu hakukuwa kwa maneno ya hekima yenye
kushawishi akili za watu bali kwa dalili za Roho na za nguvu iliimani
yenu isiwekatika hekima ya wanadamu bali katika nguvu za Mungu."
2Wakorintho 5:20 "Basi
tuwajumbe kwa ajili ya Kristo kana kwamba Mungu anasihi kwa vinywa
vyetu; twawaomba ninyi kwa ajili ya Kristo mpatanishwe na Mungu."
Marko 16:15 na Yohana 13:35 "Akawaambia enendeni
ulimwenguni mwote mkaihubiri injili kwa kila kiumbe... hivyo watu wote
watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mikiwa na upendo ninyi
kwa ninyi."
Isaya 60:1 "Ondoka
ukaangaze kwakuwa nuru yako imekujia na utukufu wa Bwana umekuzunguka.
Isaya 61:1 " Roho ya Bwana Mungu I juu yangu kwa sababu Bwana
amenitia mafuta ni wahubiri wanyenyekevu habari njema amenituma ili
kuwanganga waliovunjika moyo kuwatangazia mateka uhuru wao na hao walio
fungwa habari ya kufunguliwa kwao."
No comments:
Post a Comment