Total Pageviews

Tuesday, November 1, 2011

MY 21 DAYS VACATION TO NAKATUBA - BUNDA KIBARA

At last after four Days, safari inaendelea

Mzee wa Makamuzi anarudi kutoa kampani

tunapitia Migungani kwa Nyumba ya Mwalimu
nice environment
Afande and Baloteli are there to see us off

Guta,

kusanyiko kubwa la vijana watafuta njia wa kutoka Makanisa ya Waadventista Wasabato Tanzania nzima linafungwa hapa leo.

Hakika palipendeza Beach safi sana Mwiseni, kasoro hakuna wawekezaji


Na hatimae ndani ya Kibara

Mama Tereza, Zarau

No comments:

Post a Comment