Day 13 ya vekesheni ikaendelea kwa mwelekeo wa njia ya Majita.Mji mkongwe katika kanda hii ya majita, lakini ukuaji wake unaonekana ni wa kusuasua.
ni tofauti na enzi zile za Mali ya Umma alipokuwa anavuma.
Makojo ilikuwa kituo chetu cha kwanza.Heshima pahala alipopumzika Shangazi Ghabhaseki Msalya na Mmewe Mafuru Nyabhyuga.
Wazazi wa Tatu, Gasige,Bhulesi,Siri,Daniel,Adamu, Grace, Msalya, Taabu na Salya.
Na ndani ya muda mfupi msafara wangu ukiwa na wataalamu kama CK Jnr 2, na wengineo mlima Kilimanjaro haukuwa ni chochote mbele yetu
Ilikuwa furaha kuwa pamoja na familia hii japo kwa muda mfupi kwani safari ilikuwa haina budi kuendelea
Nyamagoti akiwa hajajua kinachoendelea kuwa msafara ulikuwa tayari uko kwake
Alipopumzika Mugerera Phares Chisute Mteki (1957 -2006)






No comments:
Post a Comment