hongera Lili.happy birthday to you.
Bahati nzuri na mimi nikiwa hapa sebuleni kwao hapa Moro nikitumia haka moderm kangu nimempata online nikampa hongera zake, lakini siyo mbaya nikisema tena "Happy BirthDay Lily" "Ukule mambugu mbugu", wadau mnaikumbuka kauli hiyo?
Kauli nimeikumbuka aunt!Naungana nawe katika hilo!
Tupeni kidogo tusioikumbuka
.........o i c, naikumbuka sasa,Hakika miaka mingi imepita toka nilipokuwa nikiisikia ikitumika.......Hasa pale wakati wa kwenda kuviangalia vichanga vilivyozaliwa
hongera Lili.
ReplyDeletehappy birthday to you.
Bahati nzuri na mimi nikiwa hapa sebuleni kwao hapa Moro nikitumia haka moderm kangu nimempata online nikampa hongera zake, lakini siyo mbaya nikisema tena "Happy BirthDay Lily"
ReplyDelete"Ukule mambugu mbugu", wadau mnaikumbuka kauli hiyo?
Kauli nimeikumbuka aunt!
ReplyDeleteNaungana nawe katika hilo!
Tupeni kidogo tusioikumbuka
ReplyDelete.........o i c, naikumbuka sasa,
ReplyDeleteHakika miaka mingi imepita toka nilipokuwa nikiisikia ikitumika.......
Hasa pale wakati wa kwenda kuviangalia vichanga vilivyozaliwa