Total Pageviews

Tuesday, July 16, 2013

LULU - 378 DAYS TIMELINE

 Kinyerezi, Jumapili 01Julai 2012
Tunapokea wageni wenye kuleta barua ya posa ya LULU
 Baba Francis & Baba Lulu ana kwa ana
 Kinyerezi, Jumapili 09 September 2012
Tuna ugeni tena kwetu
Safari hii tunapokea mahari ya Lulu
Na kadamnasi hii inashuhudia Lulu akivishwa pete ya uchumba na Bw Francis
Magereza, Ukonga Recreation
 13 April - 03 Julai 2013, Wadau wanashiriki vikao vya maandalizi ya Send Off ya Lulu
 
 Bwalo ndogo, Ukonga Magereza
Jumapili 20 Juni 2013, Kitchen Party
 Bwalo kubwa, Ukonga Magereza
Ijumaa 05 Julai 2013, Ni Send Off ya Lulu
 
Na hatimae
Jumamosi 13 Julai 2013
Lulu na Francis wanafunga Pingu za maisha
TPC, Moshi Kilimanjaro
Blogg yenu inawatakia maisha marefu na yenye furaha tele

No comments:

Post a Comment