Total Pageviews

Monday, July 29, 2013

KINYEREZI SUNDAY

Kinyerezi kwetu Jumapili
Ilikuwa na mibaraka ya wageni.
Na kawaida ya kwetu Uswazi, sebule zetu ni nje.
Jua likisogea, nasi twasogea.

No comments:

Post a Comment