Pamoja na safari iliyopo mbeleni mwetu leo tuliamukia Break fast ya nguvu
Wenyeji wetu awlikuweko kutuona tukianza safari na kutupa mkono wa kwaheri
Driver in charge, Mr Makamuzitulivuka milima na mabonde
Kila mara tukiangalia alama zilizopo barabarani, tukalinganisha na ramani yetu ya safari.
No comments:
Post a Comment