Hakika Dar Es Salaam yetu inabadilika,
Kwa wageni, hampaswi kuendesha kwa mazoea bali kuzingatia maelekezo.
Unapokuwa unaendesha sambamba na barabara za mwendokasi, unapohitaji kugeuka kurudi ulikotoka (U-Turn), unapaswa kukaa kushoto na wala siyo kulia kama ilivyo mazoea.
Endesha salama, dereva makini.
No comments:
Post a Comment