Total Pageviews

Tuesday, September 22, 2015

KUMBUKUMBU MJARABU

Hii ilitokea miaka 51 iliyopita,
Licha ya simulizi kuhusu kilichotokea, huwa sina kumbukumbu.
Lakini alama ingalipo hadi leo,
Nafikiri itadumu kutukumbusha kuwa
"Tusiwaache watoto wachezee vifaa vinavyoweza kuwa hatarishi bila usimamizi au uangalizi wa watu wazima"


No comments:

Post a Comment