Total Pageviews

Thursday, March 21, 2013

BORA MZIGO UFIKE

Tazara, Nyerere Road leo asubuhi
Kamera ya Blog ikamnasa Mheshimiwa huyu akisafirisha Mbuzi hai wanne kwa kutumia usafiri wa pikipiki yumkini kutoka Vingunguti Kiembembuzi kuelekea katikati ya mji.
Pengine ni Maandalaizi ya Pasaka au ni Biashara.
Hata hivo ilibidi kipindi asaidiwe na wasamaria wema kuwaweka sawa kwa vile walikuwa wakurupuke.

No comments:

Post a Comment