Total Pageviews

Monday, June 4, 2012

MWEZI WA MCHANA

Mwezi mwandamo huonekana magharibi, mara nyingi jioni tena kwa umbo la C.
Huu mwezi niliouona jana ulikuwa mashariki, majira kabla ya magharibi.

1 comment:

  1. Eddy.....hi there,binafsi nimeendelea kuenjoy na blog hii,kila la heri,kaza buti kutupatia taarifa. leo tunategemea kumpokea mzee wa mtwara..sijui ile ofa bado ipo ili jioni tujumuike kumuaga Bi mkubwa???

    kazi njema

    ReplyDelete