Total Pageviews

Friday, June 29, 2012

MJUKUU

Anna Mazengo
Alikuwa dada yetu pale nyumbani kwa muda mrefu,
Baadae akawa yuko Dodoma kwa Mgabho Jnr.
Weekend iliyopita alitembelea kwetu Kinyerezi.
Anna ana mtoto sasa.
Kwa hiyo tuna mjukuu.

No comments:

Post a Comment