Total Pageviews

Tuesday, July 19, 2011

KWETU KINYEREZI

Hapa ndiyo kwetu Kinyerezi
Jumapili chache niwazo home huwa napata nafasi ya kuweka post za Blog

Time zingine tunapata wageni

twakaa nao

Na kubadilishana mawazo

Wageni wengine huwa wanafika kusaidia pia mambo yasiyoenda vema

Niwapo mezani, nadra sana kukosa kampani

Na wakati mwingine hupata vingekewa kama hivi vya keki

Na msosi huwa pia unabadilika japo kidogo kuwa maharage/mlenda badala ya watoto wa mama

huwa ni full kujichana

na full kipupwe
KARIBU KINYEREZI WEEKEND MOJA TUFURAHI PAMOJA

No comments:

Post a Comment