Kinokia cha Blogger ni Paparazi, wakati mwingine kimekuwa kikinasa matukio bila wahusika kuelewa wameshaingia ndani ya anga zake.

Hata hivyo Mwinda nae huwindwa.................
Ofisini siku moja

Ukonga Recreation

Ofisini Msimbazi Centre, huyu alinaswa akiwa busy na kuchat kwenye simu almost half an hour kasimama hapo hapo

Mtoko wa Mashostino

Uumbaji wa Mungu, Kinyerezi

Rafiki yangu Justus, Partner TMC


Patrol men, a.k.a. Tigo wakisololea mkwanja. Tabata relini

Rolling Girl

tired colleague

Client, expart in ucrete taking a smoking brake outside of office

smsing

mwinda, kawindwa tena

Tz celebrity at Itungi Hotel

Dr Ndodi's receiptionist


Tapeli la mjini, alizuka ofisini akijifanya anatokea kwenye migodi ya Buzwagi

Mrs Mshamu

Kinyaiya bar, Ubungo

caught live handed

Office mate Gilbert

Samunge Pub

Daladala iko nyomi...................

Samunge

Swahiba Sabas, kijiweni Clock Tower

Dada Juice, Africentre
No comments:
Post a Comment