Total Pageviews

Wednesday, May 3, 2017

OUR BUS HUB, MAJUMBA SITA


Kutoka usafiri wa Landrover moja pekee, tene ya kusubiria kwa masaa, Stendi yetu imekua kwa kiasi kikubwa. Hivi sasa ni kiunganishi cha wasafiri wengi wa kwenda Kinyerezi, Kimara, Mbezi, Bonyokwa, Segerea, Ubungo, Makumbusho, Gongo la Mboto na Chanika.
Hata hivyo ukuaji wa Stendi yetu unakumbwa na changamoto lukuki ikiwemo wingi wa magari na ubovu wa miundo mbinu ya stendi na ukosefu wa vibanda vya abiria.
Pengine ndio maendeleo.

No comments:

Post a Comment