Leo ni siku ya choo duniani.
Siku hii ya choo duniani inakumbusha ulimwengu kuwa watu zaidi ya
bilioni 2.5 duniani kote wanakabiliwa na matatizo yanayoambatana na
ukosefu wa vyoo vinavyokithi mahitaji ya wakati hatua ambayo inawaweka
kwenye mazingira ya kukumbwa na matatizo ya kiafya.
No comments:
Post a Comment