Total Pageviews

Monday, February 3, 2014

USALAMA KWANZA??

Mafundi rangi wakiendelea na upendezeshaji wa jengo, lakini wakiwa katika mazingira duni kabisa ya kikazi.
Ngazi duni ya kamba, Hakuna cha Helmet, Glove, Safety Boots  wala miwani.

No comments:

Post a Comment