Ujumbe wa leo kutoka kwenye Daladala za jiji la Darisalama umeniacha nikitafakari mambo mengi................................, hasa ujumbe namba moja.NGUVU HUNA, PESA HUNA, Hata MKWARA??
Mtaji wa masikini, nguvu huna..............
Pesa, nguvu ya Matajiri imekupitia kando..........
Tuseme ndiyo mwisho wa maisha??
NO WAY
Hata kujikakamua binafsi, kujibidisha na kuonesha unaweza?????

No comments:
Post a Comment