Naam, Mzizima inazizima!
Ndivyo unavyoweza kusema.
Ni mvua, mvua Dar Es Salaam.
Mvua zinazoendelea Dar sasa zimeanza kugeuka toka Baraka/Neema na kuwa Karaha.
Mdau wetu wa Tsunami Kitunda, Beria Malembo amekumbana na adha hii alfajiri ya leo.
Jitihada zinaendelea za uokozi wa mali na kuyatafutia njia ya kupita maji yaliyowazunguka.
Tumwombe Mwenyezi Mungu atunusuru na majanga ya mvua.
Total Pageviews
Friday, May 12, 2017
TEMBEA UJIONEE
Kisiwa kidogo cha Okinoshima, mji wa Munakata, Fukuoka Japan.
Kisiwa kina eneo la Ekari 240, na kiko katika mwinuko unaofikia Mita 244
Kisiwa hiki kinachukuliwa kama pahala patakatifu, Mwanamke yeyote ni marufuku kukanyaga kisiwani hapa. Hairuhusiwi kuchukua kitu chochote toka kisiwani hata iwe jani la mmea.Na hata wanaume wanaotembelea hapa hutakiwa kwanza kubakia utupu na kufanya ibada ya Utakaso, na kamwe hawaruhusiwi kufichua maelezo ya safari yao.
Kisiwa kwa sasa kinakaliwana mtu mmoja tu. Na huyu ni mhudumu wa hapa, Mtumishi wa Mamlaka ya mji wa Munakata Taishi.
Kisiwa cha Okinoshima.
Source:Wikipedia and Alistair Coleman (BBC)
Monday, May 8, 2017
VIKAO VYA MAANDALIZI
Jumapili, Flamingo Garden Inn
Wadau wanaendelea na Kikao.
Ni maandalizi motomoto ya sherehe ya Send Off ya Bi Suzy Nyanguli J Kaigi.
Kikao cha pili.
Wadau wanaendelea na Kikao.
Ni maandalizi motomoto ya sherehe ya Send Off ya Bi Suzy Nyanguli J Kaigi.
Kikao cha pili.
Saturday, May 6, 2017
PUB LAMONIC
Pub Lamonic,
Mwongozo, Kigamboni
Pamoja na kushuhudia mechi ya Yanga na Mbao hapa,
Tulikula Bata,
Bidhaa adimu sehemu nyingine.
Mwongozo, Kigamboni
Pamoja na kushuhudia mechi ya Yanga na Mbao hapa,
Tulikula Bata,
Bidhaa adimu sehemu nyingine.
Friday, May 5, 2017
Thursday, May 4, 2017
Subscribe to:
Posts (Atom)











