Total Pageviews

Wednesday, May 14, 2014

HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA

Daraja letu, Uswazi kwetu.
Kinyerezi Road, baada ya daraja la chuma.
Ni bora mamlaka zinazohusika zikachukua tahadhari mapema.
Maana ha mbuyu ulianza kama mchicha

Monday, May 12, 2014

BONGO TAMBARARE

Ama kweli Bongo tambarare.
Pale Mombasa ukionekana umepitia ile parking iliyotelekezwa na Daladala,
adhabu yake ni kuwalipa Tanroads maelfu ya shillingi.
Lakini hapo Buguruni, usoni mwa Polisi, ruksa kupark katikati kwenye Road reserve.
Ama kweli tembea ujionee.

MJESHI ANKAL

Ankal Lameck Magoti
Afisa Mstaafu wa Jeshi
Tabora

Wednesday, May 7, 2014

SAFARI YETU MWANZA

Photos from Mwanza
December 2013

WEWE NI NANI?

Kinyerezi kwetu

NI WAKATI MUAFAKA

 Mjini, Jangwani Dar Es Salaam
Suburbs, Kinyerezi.
Umedunduliza kwa ajili ya kununua kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa nyumba?
Huu ni wakati muafaka wa kutoka kwenda kutafuta kiwanja, iwe ni mjini kati au pembeni ya jiji.
Kazi kwako.

CHIEF NURSE

Chief Home Nurse wa Mzee CK, ankal J akiwa katika maandalizi.