Total Pageviews

Friday, November 9, 2012

KITUNDA ENZI HIZO

Picha niliyoipiga Kitunda muda kitambo uliopita,
Katika pekua pekua yangu nikaikuta ndani ya mafaili yangu kadhaa.

Thursday, November 8, 2012

DRAFT,

Game inapokolea,
hata muda huukumbuki
juzi usiku, kwetu kinyerezi

Tuesday, November 6, 2012

Monday, November 5, 2012

LIVE MATCHES KWETU USWAZI

 
 
Live matches
Kwetu Uswazi
Tunavyo vipaji lukuki vya kutupeleka World Cup finals 2022.
Tatizo letu ni viwanja vya mazoezi, pengine na vifaa
Lakini kwetu Uswazi kucheza pekupeku ni kawaida.
Barcelona, Milan nk kwetu zipo pia

UJASIRIAMALI

Ujasiriamali.
Siyo lelemama, inahitajika juhudi na kujituma
Bonyokwa jana jioni


KWA MEJA HAPA

 Front view
 Side view
Rear view
Kwa Meja Msengi,
Bonyokwa jana joni

MJINI DARISALAMU

 
 
 
Jana Bonyokwa,
Hivi ndivyo jiji la Bandari Salama linavyoonekana ukiwa Bonyokwa