Hii Sunday Baby Day Out haikuwa imepangwa, Mzee CK alikuwa ameamua kupitisha Jumapili hii huku kwetu Kinyerezi, na baadae jioni waheshimiwa wakasema lazima wampe kampani mpaka Kipunguni. Lakini badala ya Kipunguni home, Breki ikawa KM Garden BJ akajiunga na Jopo hili, na wakakaa kuweka mikakati Sisi hatuna hili wala lile...................
Na stori za enzi hizo Nakatuba toka kwa Mzee CK zikikolea............
..........Kumbe waheshimiwa waliamua KM Garden kuwa uwanja wa michezo.............
Eee bwana ee! Nimecheka mwenyewe hadi raha. Asante kwa kuweka kumbukumbu hizi tena zikiwa na vionjo vya kutosha.
ReplyDeleteNatamani ningekuwepo jifaidi pamoja nanyi.
Siku hizi tena imekuwa wimbo kwamba tutaenda lini tena kule kwa Babu na BJ
ReplyDelete