
Kama kawaida ya mji wetu usiopangiliwa, mafuriko yameripotiwa sehemu mbali za jiji.
Binafsi nimeshuhudia mto msimbazi, Daraja la Kinyerezi ukiwa na maji mengi kwa mara ya kwanza mwaka huu. Nimepitia Mbozi Road nikakumbana na mafuriko makubwa pale karibu na Konyagi

Picha za Mabibo Relini zilizochukuliwa na mdau wa Blog mapema asubuhi wakati mvua nyingi zikiendelea zikionesha magari yaliyokuwa yamesukumwa na maji pembeni kabisa
poleni sana kwa mvua hizi. Mungu anusuru madhara.
ReplyDelete