Leo 09 DESEMBA 2011
Mdau SILLA MASISI MWAYAI MSALYA
Leo ni siku yake, anatimiza miaka kadhaa sambamba na Tanganyika
Wadau tulikuwepo mchana huu kumpa kampani
Misosi ya nguvu imeandaliwa kuendana na shughuli hii
Mzee CK leo hakujivunga, akajumuika na wadau kusheherekea miaka kadhaa ya mdau


haapy birthday uncle Sila.
ReplyDeleteMungu akujalie maisha mema.