Total Pageviews
Wednesday, December 28, 2011
TANZIA - KURURETERA NYAKUJERWA

Taarifa zilizoifikia blog yetu, Ndugu yetu amefariki jana majira ya alasiri huko nyumbani Kisorya.
Mipango ya Mazishi inaendelea Kisorya.
Ndugu wa Dar Es Salaam tunataraji kukutana baadae jioni kuangalia namna ya kushiriki na kuwakilishwa.
HIVI NDIVYO NILIVYOIPITISHA SIKUKUU YA X MAS

Baadae Blogger akaingia kijiweni/masikani kwa stori za kupitisha muda
Mdau wa maskani
Na baadae mapema tukajisalimisha home kwa ajili ya kuwahi matukio muhimu kwenye Luninga kwa siku hiyo ya sikukuu, huku wadau wengine wakirejelea homeworks zao

Tunaisubiria Christmas ingine ijayo Mungu wetu akitujaalia
Tuesday, December 27, 2011
KARIBU MDAU JANETH
WADAU WA IDARA YA USHIRIKA BAGAMOYO
Jumamosi,
tarehe 24 Desemba 2011 wakati maandalizi ya X Mas yakiendelea kwa walio wengi, na ahueni ya maafa ya mafuriko ikianza kurejea taratibu, mimi na Mdau Herman Joseph tukawa njiani kuelekea Bagamoyo. Kwanza kuangalia athari za mafuriko kwa Mama Mkwe wangu Amina Kazinyingi aka Binti K pale Bagamoyo na pia kutoa salamu za pole kwa familia ya Rafiki na Ndugu wa siku nyingi Bw Hassan Salum Mirambo.

Baadae tulielekea kwa familia ya Hassan ambapo tulikaa nao kwa muda kiasi
(Kanuni za kimaadili zikanifanya nisichukue picha zozote pale chumba cha eda)
Baadae tukapata nafasi ya kubadilishana mawili matatu pale Alpha Motel, palipoasisiwa na Marehemu George

Mwenyezi Mungu uwapumzishe kwa amani wote waliotutangulia
- Mzee Mkodo
- Mujos
- Bruno
- James Wamalwa
- Mwakalinga
- Modibwa
- Godfrey Hassan
- Joseph Kabelwa
- Fatuma
- Hassani Salum
MUNGU UWAPUMZISHE PEMA PEPONI AMINA

Subscribe to:
Posts (Atom)