Msalya-myfamily
Total Pageviews
Friday, October 28, 2011
MY 21 DAYS VACATION TO NAKATUBA - DAR TO MORO
Safari ikianzia kwetu Kinyerezi. Blogger kwenye usukani na abiria wake Beria na Joshua.
Ruvu Darajani pancha ya kwanza, lakini safari inaendelea baada ya kubadilisha tairi.
Morogoro tunaungana na Mzee wa Makamuzi, Mr Makubhi na kuanzia kabisa kwenye matengenezo
From there....
Tukaingia kwa Dr George.
wenyeji wetu tukawakuta wakitutaraji
Baada ya stori za hapa na pale, na Msosi wa nguvu
Ni wakati wa kuaga
Huku nidhamu ya ratiba ikizingatiwa
1 comment:
George
October 28, 2011 at 5:25 PM
Kweli mmeenjoy.
Reply
Delete
Replies
Reply
Add comment
Load more...
Newer Post
Older Post
Home
View mobile version
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kweli mmeenjoy.
ReplyDelete