Friday, October 28, 2011

MY 21 DAYS VACATION TO NAKATUBA - DAR TO MORO

Safari ikianzia kwetu Kinyerezi. Blogger kwenye usukani na abiria wake Beria na Joshua.

Ruvu Darajani pancha ya kwanza, lakini safari inaendelea baada ya kubadilisha tairi.

Morogoro tunaungana na Mzee wa Makamuzi, Mr Makubhi na kuanzia kabisa kwenye matengenezo From there....
Tukaingia kwa Dr George.


wenyeji wetu tukawakuta wakitutaraji


Baada ya stori za hapa na pale, na Msosi wa nguvu

Ni wakati wa kuaga
Huku nidhamu ya ratiba ikizingatiwa

1 comment: