Friday, October 28, 2011

MY 21 DAYS VACATION TO NAKATUBA - MORO TO DOM

Baada ya mapumziko mafupi Moro, safari inaendelea.

Hapa tunaungana na Makubhi kuwa Co-Driver

Dumila,
Magari mengi hapa yanapumzika

Pamoja na matokeo ya kushindwa kwa CDM Igunga, hapa tunafarijika kuona Bendera hadi kijijini. Masaa machache baadae tunaingia Dom, kwa Mr Mgabo JrHapa napo wakitutaraji, maana Geti linafunguliwa fasta
Na kupokelwa kwa bashasha
Co- Driver akihakikisha kuwa Gari iko OK
Naam, hapa ndiyo kwa Bw Maseke Mgabo
Kupoza makoo baada ya safari
Na kupata news
Tunapata nafasi ya kupata kumbukumbu

Photographer akiwa ni Shalom
Kushangaa shangaa bustanini

Na mabandani
Kujifunza lesson pamoja na wenyeji
Na kupena chakula cha kiroho

No comments:

Post a Comment