Friday, October 28, 2011

MY 21 DAYS VACATION TO NAKATUBA - DOM ROUND UP

Ukitaka kuujua utamu wa ngoma, uingie ucheze....

Na kuujua mji, uutembee......
Ikawa ni zoezi la kuutembea mji.
Makubhi on wheel, Shalom as Guide, Yangu macho na dhana mkononi
Makazi yanayojengwa kwa ajili ya Waziri Mkuu, as seen from Mgabo Jr home
View of Airport in the Heart of the Town
Tukapitia na sokoni
Construction at Mipango, Dodoma
Roundabouts nzuri na za kupendeza, na zenye kutunzwa vyema
Nyerere Hall, Mipango Dodoma
Dodoma Airport, Under construction PM Residence in Background

Roundabout
Bunge House

No comments:

Post a Comment