Monday, September 25, 2017

MAWINGUNI, DAR INSTANBUL


Shamba la Mawingu
Mruko
Ataturk Havaliman Airport, Instanbul
Safarini niko na MD wangu Mr Rupia
Jumapili Alfajiri, Saa Kumi.
Safari Dar Es Salaam hadi Instabul, Uturuki.
Hii ni safari ya Masaa saba Angani Non Stop
Flight yetu THY 380
Boeng 737-900 ikikata mawingu.
Inaruka juu mita takriban 10900, kwa mwendo wa km 700 kwa saa.
Unachoweza kuangalia chini ni shamba kubwa la Mungu la Mawingu

No comments:

Post a Comment