Sunday, September 24, 2017

FIRST LAP SAFARI YA KUSAFISHA MACHO



Safari ya Blogger ya kusafisha Macho,
Kama ya kichawi vile.
Inaanzia usiku wa Manane.
Ni safari ya kuelekea Finland na Sweden kwa kuunganishia Instanbul, Uturuki.
Jumamosi Usiku,
Julius Nyerere International Airport.

No comments:

Post a Comment