Monday, September 25, 2017

STOP OVER INSTANBUL

Internal Airport Transfers ni kwa magari aina ya mwendo kasi ya kule kwetu
Bei za hapa mmh,
Zinasemwa ni Duty free, lakini...............
Nimeambulia chupa ndogo ya maji ya ml 300 kwa Dola 4 na senti.
Begi kama la Blogger hapa ni Dola 500 hivi.
Koti Dola 800
Kuzinguana tu, 
Nijipumzikie zangu mie
Kuna mitindo ya mavazi pia
Ataturk Havalimana Airport, Uturuki.
Hapa ni hub ya kuunganisha kwenda Helinsiki, Finland.
Masaa angalau matatu ya kukamilisha taratibu.
Yataka uzoefu.
Mageti zaidi ya 500 ya kuingilia kwenye ndege.

No comments:

Post a Comment