Tuesday, April 8, 2014

ILIVYO DAR KUTOKEA SALASALA

Ama kweli, tembea ujionee.
Jumapili nilihudhuria kwenye msiba wa Ankal wetu Julius Mbogora Chiyarata, apumzike kwa amani.
Ni mitaa ya  Mbezi Africana,
Kwenye point moja - Njia panda ya kwa BARIKIWE, Taswira nzuuuri za jiji la DariSalama.
Kwa kutumia Huawei yangu.

No comments:

Post a Comment