Tuesday, April 8, 2014

HATIMAE KILIO KIMESIKIKA

Kilio kimesikika,
hatuna tena adha ya kukinga vibakuri na ndoo.
Ukarabati wa nguvu na uhakika umefanyika.

No comments:

Post a Comment